#DW: Mapigano Sudan Kusini yaongeza njaa
#DW: Mapigano Sudan Kusini yaongeza njaa
[ad_1]
Wanawake hasa ndiyo huathirika kutokana na njaa na machafuko.
Muda mfupi baada ya kuzuka kwa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe Sudan Kusini mwaka 2013, Umoja wa Mataifa ulijenga kambi ya kuwahifadhi raia na kwa sasa karibu watu 200,000 wanahifadhiwa katika kambi hiyo. Kutokana na mapigano hayo, mzozo wa njaa ulizuka katika nchi hiyo.
Hannah Nyarure anasubiri chakula pamoja na wanawake…
View On WordPress









