#TRT: Timu ya Beşiktaş ya Uturuki yajinyakulia ushindi baada ya kuizaba Monaco Beşiktaş ya Uturuki yajinyakulia ushindi kundi G baada ya kuizaba timu ya Monaco Beşiktaş ya Uturuki yajinyakulia ushindi katika kundi G baada ya kuilaza timu ya Monaco kwa mabao mawiili kwa moja.













