Leo April 7, 2020 imetimia miaka 48 tangu kutokea kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume kwa kupigwa risasi huko Zanzibar. - Hayati Karume aliongoza Zanzibar baada ya mapinduzi yaliyoondoa utawala wa Sultani aliyekuwa akitawala Zanzibar hadi mwanzoni mwa mwaka 1964. #karumeday #karumeday2020 (at Zanzibar Urban, Tanzania) https://www.instagram.com/p/B-rO7OKg932/?igshid=1fhpsjq1eulql











