#TRT: Timu ya kabumbu ya walemavu ya Uturuki mshindi wa kombe la Ulaya Timu ya kabumbu ya walemavu ya Uturuki yaibuka mshindi wa michuano ya Ulaya Timu ya walemavu ya Uturuki imeibuka mshindi katika michuano ya Ulaya kwa kuilaza timu ya taifa ya Uingereza kwa mabao mawili kwa moja.






