Usikose Mafundisho ya Neno La Mungu hapa #Startv kutoka kwa Mchungaji #Jonathanbulabo #Atafundisha Neno la Mungu akiwa nasi @amka_tumsifumungu_startv @habaristartv Karibu ubarikiwe na Mtumishi wa Mungu, ni Jumapili tarehe Nov 06 , kuanzia saa 12:30 asubuhi hadi saa 03:00 asubuhi. Kupitia Startv pia pia ungana nasi katika channel zetu za youtube #habaristartv #Amka Tumsifu Mungu, #amkatumsifumungu #tujifunzenakubarikiwapamoja https://www.instagram.com/p/Ckk27fJsqPz/?igshid=NGJjMDIxMWI=















