JIFUNZE HATUA ZA KUOGA JANABA
JIFUNZE HATUA ZA KUOGA JANABA
HATUA YA KWANZA : Anuie Muislam katika moyo wake nia ya kuoga janabah. Na nia mahala pake ni moyoni na wala haijuzu kuitamka.
HATUA YA PILI : Akoshe viganja vyake mara tatu.
HATUA YA TATU : Akoshe farji (sehemu za siri).
HATUA YA NNE : Achukue udhu kama anavyotaka kuswali.
HATUA YA TANO : Azisuguesugue nywele zake za kichwa(mpaka maji yafike kwenye michepuo ya nywele).
HATUA YA SITA :Ajimwagie…
View On WordPress










