Kuongea na vyombo vya habari kunahitaji utaalamu na maandalizi jinsi ya kujibu maswali na kuelewa lengo la maswali ya waandishi wa habari. Bila maandalizi na kujua stadi za kuelewa na kujiandaa vyema, utakuta unajisoma kesho yake mambo ambayo hukuwa umekusudia kuyasema. Video zita “trend” kuonesha maana ya maneno yako ambayo sio hivyo ulikusudia (Semantics). Nashawishika kushauri japo nahisi si rahisi kueleweka. Majibu ya “mimi kama mimi....” si murua, tujiandae, fahamu kila media na malengo yake, elewa undani wa maswali, kama hujaelewa swali uliza, au lichukue na ahidi kulizungumzia baadae. #mediatraining #smartcommunications #interviewskillstraining #interviewskillsworkshop #mungymediatraining https://www.instagram.com/p/CCz0QitnIYwt0hn61MM5aranUIcx_lhdoEBK-k0/?igshid=yo1b5xwwj2ce


















