Primus League: Flambeau Du Centre bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi. Inter Star yaelekea pabaya !
Primus League: Flambeau Du Centre bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi. Inter Star yaelekea pabaya !
Timu ya  Flambeau Du Centre ambayo ilimaliza ikiwa na fasi ya kwanza katika wiki ya 26 ya michuano ya ligi kuu Burundi, bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi baada ya kuishinda timu ya VitalâO FC bao (2-1) katika mchezo ulio chezwa hii ijumaa katika uwanja wa  Urumuri mkoani Ruyigi. Inter Star yao inaelekea kushuka daraja la pili baada ya kushindwa na timu ya  Athletico Academy mabao âŚ
View On WordPress