Nakumbuka nikiwa mdogo namuangalia kwenye Tv na sasa ni kama kaka, rafiki na ndugu kabisa. Kuishi vizuri na watu haikupunguzii chochote bali inakuwekea akiba ya mapenzi, hujui ni wapi na lini utamhitaji nani kwaajili ya kipi basi huna budi kumheshimu dada wako wa kazi kama utavyomheshimu raisi wako bila kuharibu mfumo wa kazi. Kwanini nawaambia haya ni kwasababu talent yangu ilinifanya nionekane tu basi ila baada ya hapo kilichonifikisha hapa sio talent tena bali ni ile akiba ya mapenzi baada ya kuishi na watu vizuri. Jua fursa bila kuambiwa #GoingForbes #GoingHollywood #GoingLegend #GoingOscars #iRefuseToStop #Repost @idrissultan with @hashemi_omach_khamenei (at Kefinco)











