Yanga ya Ramovic wanagusa bila kunakshi
Kutoka katkati ya kiwanja kulifikia lango la adui, Yanga walikuwa na uwezo wa kupiga pasi 6 mtawalia. Katika eneo lao kutoka langoni mwa Abdutwalib Msheri hadi katikati ya kiwanja Yanga walikuwa na uwezo wa kupiga pasi 14 mtawalia. Mchezo mkubwa wa Yanga ulikuwa unaanzia kwenye 18 za Fountaine Gate. Je ilikuwa kwenye mchezo huo ambao Yanga wameibika na ushindi wa mabao matano kwa nunge? hii niβ¦












