Endelea
Endelea Kuomba, Hata Kama Inaonekana Kama Mungu Amekwenda Likizo. Hatupimi Uaminifu Wa Mungu Kwetu Kwa Kiwango Au Kiasi Cha Maombi Yetu Aliyojibu. Imetupasa Kuomba Siku Zote Wala Tusikate Tamaa ( Luka 18:1) Endelea Kumwamini Mungu Hata Kama Huoni Matokeo Yake Bado. Endelea Kutarajia Muujiza Toka Kwa Bwana Hata Kama Unaona Muda Unakwenda Na Hauoni Mabadiliko Yoyote Chanya. Yule Mtu Aliyepooza Pale…
View On WordPress









