JACKOBO MWAMBOYA ANUSULIKA KIFO KATIKA AJALI LEO SAA 12 ARFAJILI MOROGORO TARE 12-06-2025
DAAH! Mtumishi wa MUNGU JACKOBO MWAMBOYA, MUNGU bado anakuhitaji, Tunamshukuru MUNGU Kwa kukuepusha na UMAUTI – Hapo Morogoro Kwa ajali iliyotokea Saa 12 asubuhi ya Leo Tare 12-06-2025. iliyoua Watu 9, Ombi letu ni Kwamba MUNGU akusimamie hapo HOSPITAL ya Morogoro ulipo Mtumishi, Maana Bado tunakuhitaji sana katika Injili ya KANISA LA BWANA MUNGU.Hasa Zaidi CHURCH OF GOD IN TANZANIA – Tunahitaji…
View On WordPress










