#DW: Kiongozi wa upinzani Odinga anataka uchaguzi mpya Kenya
#DW: Kiongozi wa upinzani Odinga anataka uchaguzi mpya Kenya
[ad_1]
Idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa Alhamis, ukiwa ni uchaguzi mpya wa rais , baada ya ule uliofanyika mwezi Agosti , inaonesha kwamba mchakato mzima wa uchaguzi ni batili, na serikali ya rais Uhuru Kenyatta inajaribu “kuharibu taasisi nyingine za utawala nchini,” ikiwa ni pamoja na mahakama kuu, Odinga amesema. Alisusia…
View On WordPress















