Nikweli tunampenda davido lakini sijawahi kufikiri kuna shabiki anaweza kujiumiza kiasi hiki. Shabiki ameenda mbali zaidi kuonyesha mapenzi aliyonayo kwa Davido kwa kuandika jina la mwimbaji huyo kwa kujochimba hadi ndani kabisa ya 'ngozi' yake, anasema ameandika hivyo kulipa machungu aliyopitia Davido wakati wa huzuni hii ni baada ya Davido kutangaza ujio wa album mpya. #derdeedomedia https://www.instagram.com/p/CqLn83yICyB/?igshid=NGJjMDIxMWI=








