LIVE 🔴 HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI INAFANYA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LA KAWAIDA ROBO YA TATU YA MWAKA 2022 LA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI 26 M͒E͒I͒ 2022 Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Leo Tarehe 26.05.2022 Linafanya Mkutano wa kawaida robo ya Tatu January Hadi Machi 2022.Mkutano huu wa Kawaida ulianza kwa Kusoma na kudhibitisha muhtasari wa Kikao kilichopita cha Tarehe 30/03/2022. Itafuatiwa na ,kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji Robo ya Tatu January Hadi Machi 2022 za kila kata –Kata 30 ,Taarifa za serikali na hatimaye kufunga mkutano. Mkutano huu unafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti,ukiwa unaongozwa na Mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Ayub Makuruma,Ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Busawe. Mkutano huu pia umehudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mara,Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Dkt.Vincent Mashinji,Mbunge wa Jimbo la Serengeti Dkt.Amsabi Mrimi,Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Ndg.Kivuma H.Msangi,ofisi ya Takukuru ,wakuu wa idara na vitengo, Karibuni Wote Kazi Iendelee @officialmashaallah @tagco_tanzania @kmarket_tz @barazarestaurant @madiwa_niccur254 @takukuru.tz @nyangikikora #meeting #meetings #meetingroom #zoommeeting #meetingprofs #fanmeeting #meetingnewpeople #businessmeeting #meetingspace #sewazoommeeting #ibfmeeting #meetingplanner #meetingplanners #meetingfriends #meetingtime #meetingrooms #meetingofstyles #meetingpeople #meetingsandevents #meetingplace #meetingsanta #meetingoftheminds #work #job #working #friend #workplace #company #presentation #corporateevents https://www.instagram.com/p/CeA-pXiN6Y2/?igshid=NGJjMDIxMWI=