MALIMBUKO
Malimbuko Ni sadaka ya KIAGANO Ambayo mtoaji anatoa KIPATO CHAKE CHA KWANZA [Faida kwenye bishara, mshahara wa kwanza, mazao ya kwanza (au hela iliyopatikana kutokana na mauzo ya mazao ya kwanza), mifugo ya kwanza kuzaliwa au pesa iliyopatikana baada ya mauzo ya hiyo mifugo ya kwanza].
UTOAJI WAKE
Ni sadaka ya HIARI, Na Inatolewa na mtu MWENYE UFUNUO NA MAARIFA; Yaani anayejua ANACHOFANYA KWA…
View On WordPress







