Siku ya 4 - Yosefu, Mlinzi wa Kanisa
Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina Sala ya Mwanzo Ee Mtakatifu Yosefu, tunakuja kwako kwa imani tukikuomba uombee mahitaji yetu. Wewe uliyesimamia Familia Takatifu kwa upendo na uaminifu, tuongoze na kutufundisha kuishi maisha matakatifu. Tuombee ili tupate neema za Mungu kwa maombezi yako. Amina. Sala ya Siku Husika Ee Mtakatifu Yosefu, mlinzi wa Kanisa, omba kwa…













