#TRT: Uturuki yapinga kushiriki kwa kundi la kigaidi katika mazungumzo ya amani kuhusu Syria nchini Urusi Serikali ya Uturuki yapinga kushirikishwa kwa tawi la kundi la kigaidi la PKK ambalo ni PYD katika mazungumzo ya amani mjini Sochi nchini Urusi.












