#DW: Odinga atafakari kuendelea na uchaguzi
#DW: Odinga atafakari kuendelea na uchaguzi
[ad_1]
Odinga amayasema hayo baada ya kufanya mkutano na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati, ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mpya wa rais, ambao umeitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro mkubwa wa kisiasa.
“Ikiwa mashauriano yatafanyika vizuri na ikiwa mageuzi sahihi yatafanyika, na hofu tulizozungumzia zikashughulikiwa, ambazo zilitufanya tujiondowe katika…
View On WordPress














